Can I use water hycinth as compost? Naweza kutumia magugu maji kama mbolea?

2 posts / 0 new
Last post
jsekiku
Offline
Last seen: 3 years 7 months ago
Joined: 15 Aug 2014 - 10:11pm
Can I use water hycinth as compost? Naweza kutumia magugu maji kama mbolea?

 

Kutoka kwa ALFRED MUGANYIZI  (+255764222145) wa Kyaka, wilaya ya Missenyi, Tanzania: Hapa tuna magugu maji mengi katika mto Kagera. Magugu haya yanatusumbua sana na yamekuwa kero. Je ninaweza kutumia magugu maji kama mbolea shambani? (Notes: this farmer is asking whether you can use WATER HYCINTH as compost and use it on gardens. How can he utilize water hycinth as compost)